iqna

IQNA

mungu na watoto
Qur’ani Tukufu inasemaje /16
TEHRAN (IQNA) - Kuna sababu mbili zilizotajwa katika Qur’an Tukufu ambazo zinathibitisha Mwenyezi Mungu hana watoto. Wafasiri wa Qur’ani Tukufu wanasema sababu hizi ziko katika aya ya 117 wa Surah al-Baqarah.
Habari ID: 3475472    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/07